Maazimio ya Baraza Kuu la CUF Lililokutana Leo Zanzibar
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif.Baraza kuu la Uongozi la Taifa la CUF ijumaa ya Julai, 28 limekutana kujadili mambo mbalimbali ambayo yanahusu chama hicho ikiwa ni pamoja na kujadili uamuzi wa CUF ya...
View ArticleOKWI: NIPO NJIANI NAENDA SAUZI KAMBINI KUJIUNGA NA SIMBA - BREAKING NEWS
Mshambuliaji Emmanuel Okwi raia wa Uganda.Mshambuliaji Emmanuel Okwi raia wa Uganda, amethibitisha kuwa yupo njiani kuelekea nchini Afrika kusini kujiunga na wenzake wa Simba ambao wapo kambini.Okwi...
View ArticleVideo: Hekaheka Ya Tindu Lissu, Polisi na Wanahabari Mahakamani
Baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumpa dhamana mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu upande wa mashtaka umedai upelelezi umekamilika na atasomewa maelezo ya awali Agosti 24....
View ArticleAHSANTE NI NENO DOGO LAKINI, LINAMAANA KUBWA KATIKA MAPENZI
IJUMAA imewadia, siku nzuri ambayo mimi na wewe tunakutana kwenye ukurasa huu mzuri, kujuzana na kujadiliana mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Hebu jaribu kukumbuka, mara ya mwisho...
View ArticleNEYMAR APIGANA MAZOEZINI BARCELONA NA NELSON SEMEDO, ATIMKA
Mchezaji wa Klabu ya Barcelona, Neymar. Hali ya mambo ndani ya Klabu ya Barcelona inaonekana haipo sawa baada ya mchezaji wa timu hiyo Neymar kukwaruzana na kushikana na mchezaji mwezake wa timu hiyo....
View ArticleMawaziri 5 watembelea mpaka wa Tanzania na Uganda
Mawaziri watano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametembelea mpaka wa Tanzania na Uganda ili kutatua changamoto zinazoukabili mpaka huo na kuuboresha.Mawaziri hao ni Waziri wa Ardhi,...
View ArticleMagazeti Ya Leo Jumamosi ya Julai 29, 2017
Kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Julai 29, 2017. Ni yale ya Hardnews, Udaku na Michezo.
View ArticleDONE DEAL: Picha tatu za Simon Msuva akitambulishwa Morocco
Winga mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars aliyekuwa anaichezea Dar es Salaam Young AfricansSimon Msuva ametangazwa kujiunga na club ya Difaa El Jadida ya Morocco.Simon Msuva amejiunga...
View ArticleEster Bulaya afunguka gharama aliyoitumia kwenye kesi yake na Wasira (Video)
July 28 201 7 Mahakama ya Rufaa ilitupilia rufani iliyofunguliwa na wapiga kura wa jimbo la Bunda mjini katika kesi ya uchaguzi wa kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa jimbo hilo, Ester...
View ArticleHUDUMA YA KWANZA KWA MTU ALIYEFUMANIWA
FumaniziKUFUMANIWA ni tatizo kubwa, msaada usipopatikana haraka madhara yanaweza kutokea. Kufumania ni mtego, usipotumia busara kuuvuka, utaharibu harakati zako zote za maisha. Kwa nini umpige...
View ArticleDiamond Platnumz Awatolea Majibu Ya Shombo Wanaomshambulia Zari
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amewajibu wanaomshambulia zari baada ya kuonekana katika mitandao ya kijimii akijiachia na mpenzi wake huyo. Hii ni kutokana na Zari kufiwa na mama yake mzazi...
View ArticleFatma Karume Amshtaki Polisi Aliyemzogoa Mahakamani, Adai Fidia Bil. 1
Fatma Karume akizozana na polisi.WAKILI wa Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Tundu Lissu, Fatma Karume amefungua kesi ya madai Mahakama Kuu ya Tanzania dhdi ya...
View ArticleBarua ya Jamal Malinzi kwa TFF
Barua ya Rais wa TFF, Jamal Malinzi kwenda kwa viongozi wenzake kuhusu uchaguzi mkuu ujao. Stori zinazo husiana na ulizosoma
View ArticleSimba Wamvua Unahodha Mtanzania na Kumpatia Raia wa Zimbabwe
Simba imemvua kitambaa cha unahodha Mtanzania @jonasmkude20 na Kumpatia Raia wa Zimbabwe Methodi Mwajale
View ArticleMAGAZETI YA JUMAPILI LEO JULY 30, 2017
Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Julai 30, 2017. Ni yale ya Hardnews, Udaku na Michezo.
View ArticleSoma Tweets za Magazeti Mbalimbali Kutoka Twitter
Baada ya maelezo na tetesi nyingi, hatimaye mshambuliaji Emmanuel Okwi ametua na kuanza mazoezi katika kikosi cha Simba.Okwi ametua kikosini hapo akitokea Uganda ambapo alikuwa katika majukumu ya timu...
View ArticleNEC yatoa ufafanuzi kuhusu uteuzi wa wabunge CUF
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefafanua juu ya uteuzi wa wabunge wapya wa Viti Maalumu wa Chama cha Wananchi (CUF).Imesema kuwa imesikitishwa na kushangazwa na taarifa za Baraza Kuu la Taifa la...
View ArticleSAFARI YANGU YA KWANZA KUZIMU-06
NYEMO CHILONGANIILIPOISHIAKwa kuwa walikuwa wakiongea kwa sauti kubwa, watu waliokuwa pembeni waliposikia wakaanza kusogea kule walipokuwa wale watu na hatimaye vita vya maneno kuanza kuzuka mahali...
View ArticleSAFARI YANGU YA KWANZA KUZIMU-07
MTUNZI: NYEMO CHILONGANIMwanamke yule ambaye watoto wake walikuwa ndani ya nyumba ile akaanza kulia, tayari alikwishajua kile kilichokuwa kimetokea ndani ya nyumba ile kwamba watoto wake walikuwa...
View Article