

Simon Msuva amejiunga na club hiyo ikiwa ni siku mbili zimepita toka aondoke Tanzania kwenda kujiunga na club hiyo, Msuva sasa anaungana na Ramadhani Singano aliyekuwa anaichezea Simba na Azam FC katika club ya Difaa El Jadida.

Kutoka kulia Dr Tiboroha ambaye ni meneja wa Simon Msuva wakiwa na viongozi wa Difaâ El Jadidi
