SAFARI YANGU YA KWANZA KUZIMU-08
MTUNZI: NYEMO CHILONGANIIlikuwa ni mvua kubwa, ilishuka tena kwa kasi kubwa kiasi kwamba kila mmoja akadiriki kusema hakukuwa na mvua kubwa iliyowahi kunyesha kama ile. Radi ziliendelea kupiga, kila...
View ArticleChadema Yasema Haikutuma Mtu Kuzuia Mwandishi wa TBC
Kuhusu Mwandishi wa TBC kuzongwa /kuzuiliwa kutimiza wajibu wake. Tumepokea kupitia vyombo vya Habari taarifa za tukio la Mwandishi wa habari wa TBC kushindwa kutimiza wajibu wake Katika Makao Makuu...
View Article"Uwoya alinitaka mwenyewe" - Msami Baby
Mwanamuziki anayefanya poa na ngoma ya 'So Fine' Msami baby amedai hana mawazo ya mpenzi wake wa zamani, msanii wa bogo movie, Irene Uwoya kutoka kimapenzi na msanii Dogo Janja kwani hakuwahi kumtaka...
View ArticleTamasha la ‘Komaa Concert 2017’ Latikisa Dar
Msanii wa Hip Hop, Chemical, akiwaburudisha mashabiki.Ruby akifanya yake stejiniMwana- FA naye akiwarusha vilivyo mashabiki wake.Young D akifanya yake.Dogo Aslay akikamua stejini.TAMSHA la “KOMAA...
View ArticleWAZEE WA SIMBA WALIAMSHA DUDE, WAGOMEA MKUTANO, WAMKATAA MO
Mambo ya umiliki wa Klabu ya Simba pamoja na kubadili mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo bado yanaendelea kupata kipingamizi ambapo wazee wa klabu hiyo wameliamsha dude kwa mara nyingine.Baraza la Wazee...
View ArticleMATIC SAFI AFUZU MAN UNITED, SASA ASUBURI KUSAINI MKATABA
Kiungo Nemanja Matic amefuzu vipimo na muda mchache atatangazwa kuwa mchezaji rasmi wa Man United.Matic anatoka Chelsea kujiunga na Man United kwa mkataba wa thamani ya pauni million 31.Raia huyo wa...
View ArticleKENYA: Mkurugenzi Tume ya Uchaguzi aliyepotea apatikana akiwa amefariki
Taharuki imetanda nchini Kenya baada ya Kaimu Mkurugenzi wa teknolojia wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo (IEBC), Christopher Musando aliyepotea hivi karibuni kupatikana akiwa amefariki katika eneo...
View ArticleWEMA: NISIPOPATA MTOTO NAFUNGA KIZAZI -Exclusive!
Wema Abraham Isac Sepetu.Exclusive! Hapo nyuma kumepita matukio mengi yaliyomhusu staa mwenye jina lake kwenye tasnia ya sinema za Kibongo, Wema Abraham Isac Sepetu, lakini mwenyewe hakuwa tayari...
View ArticleTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Yasema Bado Inamtambua Maalim Seif Kama...
Na Margareth Chambiri, NECTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekishauri Chama cha Wananchi (CUF) kumaliza mgogoro unaoendelea ndani ya Chama hicho kwani unaweza kusababisha kupoteza nafasi za Udiwani...
View ArticleNEYMAR ANUKIA PSG, BARCELONA YATAKA KUKWEPA KUMLIPA BABA YAKE EURO MILIONI 26
Imeelezwa ndani ya saa 48 kwa asilimia 80 inaonekana Neymar atakuwa mchezaji wa PSG ya Ufaransa.Taarifa zinaeleza, Barcelona iko katika nafasi ya kumuachia Neymar ili kuepuka kumlipa baba mzazi wa...
View ArticleRASMI SIMBA YATANGAZA KUMSAJILI NIYONZIMA, ATACHEZA SIMBA DAY
[caption id="attachment_149109" align="aligncenter" width="1000"]Mshambuliaji mpya wa Simba, Haruna Niyonzima.Hatimaye Klabu ya Simba imetangaza rasmi kumsajili Haruna Niyonzima ambaye aliichezea Yanga...
View ArticleKENYA Wapinzani: Serikali Ikubali Wachunguzi wa Nje Mauaji ya Msando
Chris Msando, enzi za uhai wake.MUUNGANO wa upinzani nchini Kenya (NASA) umekubali nia ya serikali za Marekani na Uingereza kusaidia kuchunguza mauaji ya ofisa wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC)...
View ArticleRais Magufuli amuapisha Mashiba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amemuapisha Mhe. Benedict Martin Mashiba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi Mhe Benedict Martin Mashiba amechukua nafasi ya...
View ArticleWema Sepetu ashindwa kupokea kadi CHADEMA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye, ameahirisha mkutano wa waandishi wa habari ulioandaliwa kwa ajili ya kumkabidhi rasmi kadi ya chama hicho...
View ArticleExclusive: Maskini Jini Kabula! Ukimsikia Utalia, Anatia Huruma (Video)
Maskini Jini Kabula! Hali ya kiafya ya msanii wa filamu za Kibongo aliyepata umaarufu kupitia tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Miriam Jolwa 'Jini Kabula', inasikitisha na ukipata bahati ya kukutana naye...
View Article