Gwajima, Flora kumlipa mamilioni Mbasha!
Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Flora Mbasha.Stori: Mayasa MariwataMCHUNGAJI Kongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Flora Mbasha...
View ArticlePolisi Wazima ndoa ya watoto Katavi, Bwana Harusi ana Miaka 17, Bibi Harusi 14
Jeshi la Polisi mkoani Katavi limefanikiwa kuzuia kufungwa kwa ndoa iliyohusisha watoto, muolewaji akiwa na umri wa miaka 14 na muoaji ana umri wa miaka 17.Kwa mujibu wa taarifa, bibi harusi ni...
View ArticleBibi Harusi Aliyetoroka Saa Chache Kabla Ya Ndoa Kufungwa Na Kumwacha Bwana...
Bibi harusi Doroth Msuya( Kulia )Bibi harusi Doroth Msuya aliyetoroka saluni akipambwa saa tatu kabla ya kufungwa kwa harusi yao na kumwacha solemba bwana harusi, Joseph Machange amepatikana jijini...
View ArticleWEMA, AUNT WAKWEPANA IKULU
MAHASIMU wawili katika anga la mastaa, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wiki iliyopita walikwepana na kushindwa kusalimiana, licha ya wote kuwa waalikwa katika hafla maalum ya kujipongeza iliyofanyika...
View ArticleMREMBO ATEMBEA 'UCHI' MITAA YA HONG KONG BILA KUGUNDULIKA
Mrembo akikatiza katika mitaa ya Jiji la Hong Kong bila kuvaa nguo za ndani....Akielekea kufanya manunuzi kwenye maduka....Akinunua tiketi ya treni....Akiwa ndani ya treni bila kugundulika kuwa hajavaa...
View ArticleGari la Wema siri nje!, ALIYEMUONGA ATAJWA
Supastaa wa filamu za Bongo, Wema Sepetu akiwa ndani ya gari lake alilodai kununua hivi karibuni.MAMBO hadharani! Siku chache baada ya Miss Tanzania 2006/07 ambaye pia ni supastaa wa filamu za Bongo,...
View ArticleMagazeti ya Tanzania leo Novemba 12, 2015
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Novemba 12, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo...
View ArticleSIMBA KIMENUKA SIMBA MATOLA ABWAGA MANYANGA KISA ‘BIFU’ LAKE NA KOCHA MKUU,...
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMKOCHA Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Abdallah Matola amejiuzulu nafasi hiyo kutokana na kile alichodai kutolelewana na Kocha Mkuu, Muingereza, Dylan Kerr.Akizungumza na...
View ArticleMakada wa CCM Waliochukua fomu Lumumba za Kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri
Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM...
View ArticleAunt: sihitaji pedeshee, dansa wangu anatosha
MAKUBWA! Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa wapo watu wanamcheka kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dansa (Moze Iyobo) lakini ni bora aendelee kuwa naye kuliko kuwa na uhusiano na mtu...
View ArticleLowassa kumnadi Lema Arusha Mjini
By Mussa Juma, MwananchiArusha. Aliyekuwa mgombea wa urais wa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa anatarajiwa kupanda jukwaani Jumamosi kumuombea kura mgombea wa ubunge wa Chadema Jimbo la Arusha Mjini,...
View ArticleMrembo ajiachia BICHI...Jorgie Porter puts on a VERY busty display in tiny...
SHARE PICTURE Buxom: I'm A Celebrity...Get Me Outta Here! contestant Jorgie Porter still found time to enjoy Australia's Surfer's Paradise, this weekThe Hollyoaks actress, 27, was certainly enjoying...
View ArticleWananchi wazidi kuibana Tigo
Mwandisi wetuKUFUATIA utetezi wa kampuni ya simu za mikononi ya Tigo, juu ya kushindwa kutoa huduma kwa wateja wake siku nzima ya Jumapili iliyopita, wananchi wamezidi kuibana baada ya kauli...
View ArticleRay C amekumbwa na aibu ya aina yake baada ya hivi karibuni...Tumekuwekea hapa
Imelda Mtema/GPLMwanamuziki Rehema Charamila ‘Ray C’ amekumbwa na aibu ya aina yake baada ya hivi karibuni kuvuja ‘video’ inayomuonesha akiwa mtupu huku akikata viuno.Video hiyo ambayo haimuoneshi uso...
View ArticleHii sasa ni Fedheha! Msanii Bongo Avua Nguo Studio, Apiga picha za aibu
Msanii wa muziki anayefahamika kwa jina la Rukia Jumbe ‘Rucky Baby’ amepata fedheha ya aina yake baada ya kuvua nguo studio kisha kupiga picha za nusu utupu.Msanii huyo mrembo, alikumbwa na kadhia hiyo...
View ArticleNajma: Nikiwa faragha na mpenzi, napenda kulala kifuani
Unamkumba vizuri mwanadada Najma aliyewahi kudaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Mr. Blue na Diamond Platnumz? Jina lake kamili anaitwa Najma Dattan. Diamond na Najma wakiwa pamoja.Kwa sasa...
View Article