Quantcast
Channel: Rogers Linky - Sports Home
Viewing all articles
Browse latest Browse all 12768

Hii sasa ni Fedheha! Msanii Bongo Avua Nguo Studio, Apiga picha za aibu

$
0
0
Msanii wa muziki anayefahamika kwa jina la Rukia Jumbe ‘Rucky Baby’ amepata fedheha ya aina yake baada ya kuvua nguo studio kisha kupiga picha za nusu utupu.
Msanii huyo mrembo, alikumbwa na kadhia hiyo alipokuwa akipiga picha kwa ajili ya kujitangaza kutokana na kazi zake za kimuziki.

Chanzo kilichovujisha picha hizo kilidai kuwa, awali msanii huyo alifika kwenye studio moja iliyopo maeneo ya Msasani jijini Dar kwa lengo la kupigwa picha lakini cha ajabu zilipigwa nyingi baadhi zikiwa za utupu.

“Alipomaliza kupigwa zile picha, akapewa zote lakini ndani yake zilikuwepo picha zake za nusu utupu, kwa hiyo akachagua za kupeleka kwenye vyombo vya habari na mimi ndipo nikazinasa hizi chafu,” kilidai chanzo hicho ambacho ni rafiki wa karibu wa msanii huyo.

Katika picha hizo, msanii huyo anaonekana akivua shuka alilojifunga na kumfanya abaki mapaja na matiti wazi, kitu ambacho ni kinyume kabisa na maadili.

Katika kujua kulikoni msanii huyo apige picha hizo, mwandishi wetu alimtafuta na alipopatikana alisema:

“Jamani hizo picha nilipiga studio lakini sikumbuki kama zipo zinazonionesha nikiwa mtupu. Huyo mwanaume anayeonekana ni dairekta, alikuwa akinielekeza jinsi ya kuweka mapozi tu,” alisema msanii huyo.

CHANZO: IJUMAA GAZETI - GPL

Viewing all articles
Browse latest Browse all 12768

Latest Images

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>