BRAZIL YATINGA NUSU FAINALI OLIMPIKI, NEYMAR APIGA BAO, AZUA TAFRANI
Neymar amefunga bao na kuisaidia Brazil kuitwanga Colombia kwa mabao 2-0 na kutinga nusu fainali ya Michezo ya Olompiki inayofanyika Rio nchini Brazil.Neymar ambaye ni nanodha wa Brazil alifunga bao...
View ArticleJukwaa la Wahariri lapinga Gazeti la Mseto kufungiwa
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa mshituko taarifa za kufungiwa kwa miezi 36 gazeti la Mseto kwa kutumia kifungu cha 25(1) cha Sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976.Katika taarifa yake kwa...
View ArticleKanga Moja Kiunoni... MBENGEMBEGE - 24
ILIPOISHIA: “Haa! Haa!” mzee Hewa alianza kuonesha uchu wake kabisa. Alimfuata na kumkumbatia kwa kumuweka kifuani mzimamzima. Mama Mei hakutaka kuonesha kwamba, hajakubali kukumbatiwa, akatoa...
View ArticleSpika wa Bunge Job Ndugai Awaalika Wapinzani Kwenye Meza ya Mazungumzo ili...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, amekiri bunge hilo kusambaratika na kuwa vipandevipande kutokana na vurugu za mara kwa mara zilizopelekea wabunge wa upinzani kususia vikao...
View ArticleOfisi za Bunge kuhamia Dodoma Septemba mwaka huu
Ofisi za Bunge zilizopo Jijini Dar es salaam zinatarajia kuhamishiwa Dodoma mwezi Septemba mwaka huu, ikiwa ni utekelezaji wa agiza la Rais Magufuli la kuhamishia shughuli za serikali Dodoma.Taarifa...
View ArticleZLATAN, ROONEY, MATA WALIVYOCHEKA NA NYAVU NA MAN UNITED KUANZA EPL KWA KUTOA...
Bournemouth (4-3-3): Boruc 5.5; Francis 4.5, A. Smith 6.5, S. Cook 5.5, Daniels 5.5; Surman 5.5, Arter 6, L. Cook 6 (Gradel 82); Ibe 6.5 (Afobe 68, 6), Wilson 5.5 (Grabban 68, 6), King 6.Subs not used:...
View ArticleLIVERPOOL YAITOA SHOO ARSENAL KWAO EMIRATES, YAICHAPA KWA MABAO 4-3
Liverpool imeionyesha Arsenal si kitu kwake baada ya kuichapa mabao 4-3 licha ya Arsenal kuwa nyumbani Emirates tena ikianza kufunga.Arsenal ilikuwa ya kwanza kufunga bao kupitia kwa Theo Walcott...
View ArticleRais Dkt. Ali Mohamed Shein akitoa taarifa rasmi ya kifo cha Rais Mstaafu wa...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, ametoa taarifa rasmi ya Serikali kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Zanzibar wa Awamu ya Pili, Mheshimiwa Alhaj Aboud...
View ArticleMavugo, Ajibu waandaliwa kuwapoteza Ngoma, Tambwe
MASTRAIKA wa Simba, Ibrahim Ajib na Laudit Mavugo, wanaandaliwa kuja kuwa wafungaji wazuri kwenye Ligi Kuu Bara huku wakibebeshwa zigo la kuvunja utawala wa mastraika wa Yanga, Amissi Tambwe na Donald...
View ArticleRais Edgar Lungu Anaongoza Kura Zambia, Wapinzani Wapinga!
Rais Edgar Lungu.Lusaka, Zambia.Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais wa Zambia yaliyotangazwa leo Jumatatu na Tume ya Uchaguzi ya Zambia (ECZ), ambapo asilimia 85 ya majimbo yote yamekwisha hesabiwa,...
View ArticleOmog: Yanga hii moto ...Bado wanaweza kuchukua ubingwa
PAMOJA na kuboronga kwao kwenye michuano ya kimataifa, Kocha wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog, anaamini bado Yanga ni timu ambayo itafanya vema msimu ujao kutokana na uwepo wa Mdachi, Hans van Der...
View ArticleMaharusi wa Kichina Wafunga Ndoa Bondeni Kwenye Daraja la Kioo
Si jambo linaloweza kufikiriwa na kila mtu kulitenda wakati wa siku maalum, lakini wapenzi wa kichina walichagua kusherehekea harusi yao huku wakipepea angani katika daraja la kioo.Bibi harusi na bwana...
View ArticleBasata wamfungulia Ney wa Mitego
Katikati ni katibu wa Baraza la sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey Mungereza akizungumza na wanahabari wakati wa kutoa tamko la kumfungulia Nay. Kushoto nia msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na...
View ArticleHII NDIYO TAARIFA INAYOZAGAA MITANDAONI KUHUSIANA NA YUSUF MANJI KUACHIA...
MANJI (KUSHOTO) AKIWA NA MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA, CLEMENT SANGA.Habari za uhakika ambazo tumezipata kutoka katika chanzo cha uhakika ndani ya Yanga zinaonyesha kuwa mwenyekiti wa Yanga Bw Yusuf...
View Article