KABLA SIJAFA LAZIMA DUNIA INISAMEHE-2
Upelelezi wa maaskari wa shirika la kijasusi la Marekani FBI ulifanyika karibu maeneo yote yaliyozunguka jengo la WTC, gari la tajiri David Syndrome lilikutwa eneo lile, maaskari walilitambua kwa...
View ArticleKABLA SIJAFA LAZIMA DUNIA INISAMEHE- 3
The Nigeria Institute of Medical Research ndicho kilikuwa kituo kikubwa zaidi cha kufanya utafiti wa magonjwa mbalimbali nchini Nigeria,kikiwa katika jiji la Lagos! Kila mtu mwenye matatizo...
View ArticleMadai ya kalio feki la Wema Sepetu, mama yake afunguka..Je anajaladia?
Madai ya staa mkubwa Bongo aliye pia Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu kwamba wowowo lake linazidi kuwa kubwa kwa sababu anatumia dawa za Kichina yanazidi kushika kasi huku kwa mara ya kwanza mama...
View ArticleMke wa Messi amblock Instagram Miss huyu shabiki wa mumewe
Suzy Cortez akiwa katika mapozi mbalimbali na jezi ya Messi. Hivi karibuni mke wa Lionel Messi, Antonella Roccuzzo alimblock Suzy Cortez ambaye ni Miss Bumbum nchini Brazil mwaka 2015.Suzy Cortez...
View ArticleMauno ya Snura yamdatisha staa wa muziki kutoka Nigeria, Don Jazzy
MAUNO ya mkali anayekimbiza kunako Muziki wa Mduara, Snura Mushi ‘Snura’ yameonekana kumdatisha staa wa muziki kutoka Nigeria, Don Jazzy kufikia hatua ya kuipongeza video ya bishosti huyo kupitia...
View ArticleMeya jiji la Dar aibua sakata la UDA
MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amemuomba, Rais John Magufuli, kumulika uozo uliopo ndani ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), ili lirudishwe mikononi mwa jiji hilo.ISAYA...
View ArticleFacebook yapata faida ya dola bilioni 1.5
KAMPUNI ya Facebook imeripoti ongezeko la faida ya asilimia 195 katika robo ya kwanza ya mwaka huku kampuni hiyo ikiendelea kupata mapato ya matangazo mapya.IIiripoti mapato ya dola bilioni 1.5 katika...
View ArticleMlima Kilimanjaro watunukiwa zawadi ya kivutio kikuu
Mlima Kilimanjaro.MLIMA Kilimanjaro ambao ni mrefu zaidi barani Afrika, umetangazwa kuwa kivutio kikuu cha utalii katika bara katika mwaka 2016. Hili lilitangazwa katika hafla ya taasisi ya masuala ya...
View ArticleMwili wa Papa Wemba wawasili DRC jana
Mamia ya watu wamekusanyika jana nje ya uwanja wa ndege wa Kinshasa kuupokea mwili wa mwanamuziki Papa Wemba uliowasili nchini humo kutoka AbidjanMwanamuziki huyo ambaye ametajwa kuwa mmoja ya...
View ArticleRais Magufuli Awasili Mkoani Dodoma Kwa Usafiri wa Gari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma wakati akitokea mjini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan...
View ArticleSpika Apangua tena Kamati za Bunge, Wabunge Wapinga
Spika wa Bunge, Job Ndugai amefanya mabadiliko mengine ya kamati za Bunge kwa kuwaongeza wabunge wapya na kuwahamisha wengine kwenda kwenye kamati nyingine, jambo ambalo limepingwa na baadhi ya wabunge...
View ArticleNaibu Spika Achafua Hali ya Hewa Bungeni Baada ya Kumwita Mbunge BWEGE
Naibu Spika Tulia Ackson, ambaye katika vikao vya Bunge anatakiwa kusimamia mijadala kwenye chombo hicho cha kutunga sheria, jana alizua kizaazaa baada ya kumuelezea mbunge wa Kilwa Kusini (CUF),...
View ArticleMadai ya Diamond kuopoa mpenzi mpya kisha mama yake amfyatukia zari!
Muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady.DAR ES SALAAM: Kimenuka tena! Hali ndani ya familia ya staa wa Muziki wa Afro-Pop, Nasibu...
View ArticleLulu Diva azua timbwili kwenye fumanizi
Video Queen na muigizaji wa filamu anayekuja juu kwa sasa Bongo, Lulu Abasi ‘Lulu Diva’ juzikati alizua timbwili kwenye fumanizi mitaa ya nyumbani kwao, Tandale jijini Dar lililomhusisha shemeji yake,...
View ArticleBosi wa Zamani wa TRA na Wenzake Wawili Warudishwa Tena Rumande Hadi Tarehe 3...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imesita kutoa uamuzi wa kesi inayowakabili Harry Kitillya, Shose Sinare na Sioi Solomoni kwa madai, jalada lake limeitishwa Mahakama Kuu....
View ArticleKABLA SIJAFA LAZIMA DUNIA INISAMEHE- 4
“Sasa hebu niambie huo mkataba tunausaini lini?”“Wakati wowote wewe ukiwa tayari ili mradi utuhakikishie kama kazi hiyo utaiweza!”“Nimekwishawaeleza kuwa hilo kwangu mimi si tatizo hata kidogo, mimi ni...
View Article