$ 0 0 Msanii kutoka Tip Top Conection Dogo Janja ameachia video yake mpya ya ‘Kidebe‘ Mdundo ambao umefanywa chini ya Producer Maco chali, video imeongozwa na Hanscana.